YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA AL AHLY
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KLABU ya Yanga imelazimishwa kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Al ahly ya Misri,
mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la New Aman Z...
3 hours ago
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan
Abdullah Turky kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida wakitoka
kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment