:
Kutoka Bungeni Dodoma tunaarifiwa kuwa baada ya matokeo ya kidato
cha nne kuwa mabaya mwaka,hatimaye serikali imekubali mapendekezo ya
awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana
kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011
haraka iwezekanavyo.SOURCE ITV TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment