Shows mbili zilizokuwa zifanyike ijumaa hii Tar 31 Mwezi wa tano zimehairshwa kutokana na msiba wa msanii maarufu ngwea,aliyefariki akiwa nchini South Africa mapema Mchana wa leo,Mwana FA akiongea na kipindi cha ampilifaya cha clouds fm amesema kwamba wameamua kuhairisha show yao hiyo ikiwa ni heshima kwa msanii huyo,na akaongeza show itafanyika mara baada ya mazishi yake na tarehe mpya ya show hiyo itatangazwa siku chache zijazo,Msanii kalapina wa kikosi cha mizinga naye ameamua kuhairisha show yao iliyokuwa ifanyike ijumaa hii pia.
FISI WAHARIBIFU WAZIDI KUDHIBITIWA, SIMIYU NA KONGWA.
-
Na Sixmund Begashe - Dodoma
Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuongeza jitihada zaidi za
kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu hususani ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment