Je ni kweli kua Madee kacopy na kupaste! Ukisikiliza vizuri wimbo wa madee na huu hapa chini katika video utagundua kama zinaendana hivi kwa kiasi kikubwa. Sasa utata utamalizwa leo katika Exclusive Interview
katika the Week end Chat show Clouds Tv saa nne Usiku mpaka saba.... Jamaa mwenye video atafunguka kila kitu usiku wa leo. Usikose Show
COMPARE NA VIDEO HII MPYA YA MADEE
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
1 week ago

No comments:
Post a Comment