Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, May 6, 2013

KMKM MABINGWA WAPYA WA SOKA ZANZIBAR 2013 WATANGAZWA RASMI NA KUKABIDHIWA ZAWADI



 Waziri Asiye na Wizara Maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Machano Othman akimkabidhi zawadi ya mfano wa Hundi ya shilingi milioni kumi kwa timu ya KMKM kulia ni Meneja masoko wa Kinywaji cha GrandMalt Fimbo Mohamed Buttal na kushoto ni meneja wa GrandMalt Consolata Adam
 Nahodha wa timu ya KMKM akipokea kombe na mfano wa hundi ya Shilingi milioni kumi toka kwa mgeni Rasmi Waziri Asiye na Wizara Maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Machano Othman mara baada ya kuwa mabingwa wa ligi kuu ya soka ya GrandMalt.

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
LIGI Kuu ya Zanzibar maarufu zaidi kwa jina la ‘Grand Malt Premier League’ msimu wa 2012/2013 imemalizika rasmi mwishoni mwa wiki kwa kishindo kikubwa, huku KMKM wakiwa mabingwa wapya na Chuoni ikikamata nafasi ya pili.

No comments:

Post a Comment