Mchezaji
wa timu ya Yanga Didier Kavumbagu akikokota mpira mbele ya mchezaji wa
timu ya Simba Abdallah Seseme katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
unaofanyika jioni hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam , hivi
sasi ni kipindi cha pili na Yanga wanaongoza magoli 2 -0 dhidi ya Simba
ambayo imekosa penati katika kipindi cha kwanza wakati mchezaji wake
Mussa Mude akipiga vibaya mpira huo baada ya Mrisho Ngassa wa Simba
kuangushwa kenye eneo la hatari Wachezaji wa timu ya Simba na Yanga wakiwania mpira wakati wa mchezo wao unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii. Baada ya golikipa wa Simba Juma K. Juma kuteswa hali ilikuwa hivi. Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kupata goli la kwanza dhidi ya Simba.
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA
DODOMA
-
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza
Kikao c...
15 hours ago
No comments:
Post a Comment