Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 24, 2013

MWAKILISHI WA BIG BROTHER AFRICA KUTOKA BONGO NI HUYU HAPA







Yeah pipozz, huyu ndio muwakilishi wetu wa BBA 'THE CHASE!! CHUKUA HIYOOO, MPYA KWENYE MAKARATASI AIJAFUNGULIWA POPOTE MZIGO NAKUSHUSHIA HAPA..
KILA LA KHEIR FEZZA KESSY
WATANZANIA TUPO PA1!!
 
Credits: Zedylicious blog

2 comments:

  1. vp kuhusu tid,q chief na Wema sepetu
    c nilisikia walichukua fomu?

    ReplyDelete
  2. ukiona ivoooo ujue hawajapita kwenye screening

    ReplyDelete