Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizingumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan
Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu wa
Umoja wa Afrika Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim kuhusiana na sherehe za
miaka 50 ya AU alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Mei
26, 2013. Viongozi hao wastaafu ni miongoni mwa wageni mashuhuri
walioaliokwa kwenye sherehe hizo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wanahabari baada ya kuhudhuria
Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
DRC na nchi za Maziwa Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika leo
Mei 26, 2016
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika

No comments:
Post a Comment