Muono wa
jicho la samaki katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao
makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao
makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013
Marais
Wastaafu wakiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao
makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013
Viongoi AU wakiwakumbuka waliotangulia mbele ya haki.
No comments:
Post a Comment