Show ya Airtel Yatosha iliyofanyika Mbagala Zakhem, Temeke jijini Dar es Salaam imelazimika kuishia njiani baada ya kuzuka vurugu kubwa.
Fujo hiyo ilianza baada ya Nay kurusha nguo zake na mkanda wake kuwatupia mashabiki walioanza kuugombania. Vurugu hizo zimesabisha watu kuumia na wengine kuibiwa.
Msikilize hapa.
Tanzanite Royal Gin yasogeza mbele Manyara Tanzanite Marathon, wasanii
kutumbuiza
-
Na Mwandishi Wetu, Manyara
Manyara Tanzanite Marathon 2026 inatarajiwa kuwa na burudani ya aina yake
baada ya wasanii maarufu nchini, Dully Sykes, Banana...
12 hours ago

No comments:
Post a Comment