skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWZZZZZZ: TCRA IMEITAKA Star Tv IRUDISHWE KWENYE STAR TIMES KABLA YA SAA KUMI JIONI LEO KUPITA.
TCRA imeagiza Chaneli ya Star Tv irudishwe mara moja kwenye Star Times kabla ya saa kumi jioni leo kupita.
Aidha Star Times na Star TV wameelezwa kuwa wote wamevunja sheria ya
Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta ya 2010 na Kanuni zake na kutakuwa
kujitetea tarehe 17 Juni 2013.
Agizo la kurudishwa kwa
Chaneli ya Star TV linatakiwa kutekelezwa ili kuhakikisha kuwa wananchi
hawanyimwi haki ya kupata habari.
Vile vile wote wametakiwa kufuata Sheria inapotokea kutokuafikiana badala ya kutoa maamuzi bila kumshirikisha Mdhibiti (TCRA)
No comments:
Post a Comment