KITUO kikuu cha mabasi cha wilaya ya Hai kilichopo katika mji wa
Bomang’ombe kimefungwa kwa muda ili kupisha matengenezo makubwa ya kuweka lami.

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga, aliwaeleza waandishi wa
habarikwamba matengenezo hayo yanayokana na ahadi ya rais Jakaya
Kikwetewakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010.

Ameeleza kuwa matengenezo hayo ya kipande cha urefu wa kilometa 0.85
utachukuwa siku 45 kwa gharama ya shilingi milioni 90.

Amefafanua kwamba matengenezo hayo yataunganisha barabara inayoingia
kituoni hapo na ile ya Moshi hadi Arusha pamoja na kukiwekea lami.

Makunga ameeleza kuwa wakati kituo hicho kikiwa kimefungwa,hivi sasa
kinatumika kituo cha muda katika eneo la Double road

Ameeleza kuwa katika mwaka wa fedha wa 2012/2013,Halmashauri ya wilaya
ya Hai ilitengewa jumla ya shilingi 460,810,000 katika mfuko wa
barabara.

Wilaya ya Hai ina barabara zenye urefu wa kilometa 466.2 ambapo kati
ya hizo,kilomeya 32 ni barabara kuu,kilometa 42 ni za mkoa,kilometa
175.93 ni za wilaya na kilometa 150.27 ni za vijiji na barabara za Hai
ni kilometa 66.

Alisema kuwa barabara zinazopitika nyakati zote ni kilometa 235.53
ambazo ni sawa na asilimia 50.82
ambazo ni sawa na asilimia 50.82
No comments:
Post a Comment