Waandamaji
Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi
Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa
Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika Jioni ya leo wakati Raisi
Obama alipotua Katika Jiji Hilo leo Jioni Juni 28
Waandamaji
Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya Bango linalopinga Kuja kwa Raisi
Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Afrika Kusini
Jioni ya Leo Juni 28
Waandamaji
wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani
wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo Mapema
leo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 ametokea
Nchini Senegali na Kutua Nchini Afrika Kusini huku Akihitisha Ziara
Yake Nchini Tanzania wiki ijayo.
Mmoja
wa waandamaji nchini Afrika Kusini ambaye jina lake halikuweza
kupatikana mara moja akiwa amebeba moja ya Bango ambalo Linamwita Raisi
OBAMA kuwa ni Mpishi wa Ikulu ya Marekani kama linavyosomekana na
kuendelea kuelezea kuwa sera za Marekani ni tatizo.Mwandamaji huyu
amebeba bango leo Juni 28 wakati wa maandamo ya amani kuelekea mbele ya
Ubalozi wa Marekani NChini humo kwa kupinga Kuja Kwa OBAMA Nchini
Mwao.Picha Zote na REUTERS/AFP
No comments:
Post a Comment