Msaani barnaba leo asubuhi amepata msiba mzito baada ya kufiwa na mama yake mzazi,mtandao huu unatoa pole sana kwa barnaba na familia yake kwa ujumla,R.I.P mama
UCHAGUZI CCM TANGA:MWANAFA AMPIGIA DEBE USTADH RAJAB
-
📍Awaonya wajumbe wasifanye ushabiki wa Messi na Ronaldo
Na Mashaka Mhando, Muheza.
MBUNGE wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utama...
17 hours ago

No comments:
Post a Comment