Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 24, 2013

PICHA ZA HAFLA YA WASTAFU WA TAMISEMI NA KIKAO CHA MUUNGANO- DODOMA

IMG_0165Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi runinga ya nchi 32 Katibu Twala wa mkoa wa Pwani Mstaafu, Bernard Nzungu katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) IMG_0281Makatibu Tawala wa Mikoa Wastaafu, Bernard Nzungu  (kushoto) na Getrude Chipaka wakisakata Rhumba katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0294Makamu wa Rais, Dr Mohamed Ghalib Bilal akizungumza katika kikao cha kujadili masuala ya Muungano kilichofanyika kwenye hoteli yaNew Dodoma mjini Dodoma Juni 23, 2013. Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Kulia ni Waziri wa Elimu na Amali wa Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0297Makamu wa Rais, Dr Mohamed Ghalib Bilal akizungumza katika kikao cha kujadili masuala ya Muungano kilichofanyika kwenye hoteli yaNew Dodoma mjini Dodoma Juni 23, 2013. Kulia  ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Kshoto ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment