Katika kuendeleza na kuimarisha uhusiano mzuri kati ya Benki ya NMB na wabunge, Benki ya NMB iliandaa mechi kali iliyohudhuriwa pia na mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wakazi wa manispaa ya Dodoma.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Rais Mhe. George Mkuchika ambae alikua ndiye mgeni
rasmi akikagua kikosi cha timu ya NMB kabla ya mpambano huo.
Timu ya NMB
Naibu waziri wa habari Vijana,Utamaduni na Michezo Amos Makalla (Jezi ya njano na Bluu) akipigwa chenga na Afisa mkuu wa fedha NMB Waziri Waziri katika mtanange huo uliokuwa wa kukata na shoka.
No comments:
Post a Comment