mechi ya mpira wa miguu ikiendelea
mbio kwa wakina dada hapo
mashabiki wa wakifuatilia mchezo wa netballll
madada wa netball wakijipanga
umati wa mashabiki
bwana sadat mchezaji wa BPLM akifuatilia mechi
Bwana Noz B mratibu wa bonanza hilo
haya sasa ubabe wa kuvutana na kamba
wadada wakiwa na furaha teleeee
Hahahaha mashindano ya draft jamaa akijitapa kwamba ashapewa mke kwa kushinda mkoa wa tanga
one touch bana ahhhh vp
picha zote na dj-sek.blogspot.com
UCHAGUZI CCM TANGA:MWANAFA AMPIGIA DEBE USTADH RAJAB
-
📍Awaonya wajumbe wasifanye ushabiki wa Messi na Ronaldo
Na Mashaka Mhando, Muheza.
MBUNGE wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utama...
8 hours ago





























No comments:
Post a Comment