Mtangazaji wa MTV Base na Choice FM na muimbaji Vanessa Mdee jana aliangusha party ya nguvu kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya kutumiza umri wa miaka 25. Sherehe hiyo ilifanyika jana usiku kwenye kiota kipya cha starehe jijini Dar es Salaam kinachotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni cha Escape One.
B12 akiwa na Maribeth aka Lady Haha Jumla ya wageni 100 walialikwa kwenye party hiyo ambayo pamoja na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Vanessa aliitumia kujipongeza kwa kutajwa kuwania kwenye tuzo za Kili mwaka huu zitakazofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Miongoni mwa wageni walioalikwa kwenye party hiyo ni pamoja na wasanii na watu mashuhuri nchini wakiwemo Izzo B, Weusi, Mwana FA, AY, Shaa, Master Jay, Salama Jabir, Marco Chali, Quick Rocka, Lina, Ommy Dimpoz na wengine. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linah, Izzo B, Shaa, Ommy Dimpoz, G-Nako, The Trio na yeye mwenyewe Vanessa.
Mtangazaji wa Power Breakfast ya Clouds FM, Barbara Hassan akiwa na Sister Dread wa Choice FM
Shaa
Vanessa Mdee akijianda kupop champagne
Vee akiongea machache
DeeAndy
Producer wa show ya Vanessa Mdee, The Hit List ya Choice
Millard Ayo
Mtu na dada yake
B12 na Quick Rocka
Izzo B
Izzo B, Mima, B12 na Quick aka Switcher
Weusi, G Nako na Joh Makini
B12 na Vanessa
B12 na Abby
Izzo akimpa shout out birthday girl, Vee
ML Chris wa Choice
Vanessa akikata keki
Vanessa akiwa na Seven
Linah akiwa na The Trio
Avid(katikati) akiwa na designer Sheria Ngowi (kulia) na marketing manager wa brand yake, Deo
Izzo akifurahia na producer na bosi wake, Master Jay
Deddy akiwa na Angel
Kibonde, rafiki, Seven na Evans Bukuku
Osse Sinare na Pedaiah
Crew ya Choice FM kwenye picha ya pamoja
Vee akiwa na Marco Chali
Izzo B akitumbuiza
Michael Mlingwa aka MX naye alikuwa akisherehekea siku ya kuzaliwa na hapa alikuwa amemwagiwa maji na pombe za kutosha
Mwana FA
Akbar Thabeet
Ommy Dimpoz akiimba Me and You
Angel akiimba na Ommy Dimpoz
Sade
No comments:
Post a Comment