Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 29, 2013

ANGALIA PICHA ZA BOMOABOMOA IMEWAKUMBA WAKAZI WA BOKO


Bomoabomoa imewakumba wakazi wa boko basihaya uboaji wa nyumba zai ya mia moa 100 umeanza toka leo kwa mujibu wa diwani wa kata ya Bunju  anaejulikana kwa jina la Majisafi amesema zoezi la ubomoaji wa nyumba hizo ni kutokana na mpango wa dawasa wa kupitisha bomba kubwa la maji kwa wakazi wa jijini Dasr es salaam amedai kuwa nyumba hizo ambazo baadhi yao wamejenga katka barabara ya bombo na wengine ni pale sehemu ya nyumba zao zimezidi kidogo wananchi hao ambo leo walikuwa na kikao cha wananchi kwa madai ya kutopewa taarifa mapema na uwekaji wa alama za ukutani zimewekwa alama za x na nyingine kuielekeza bomoa
kijiko kikiwa kazini leo kusafisha barabara NA MZUKA KAMILI





zahanati ya boko nayo yavunjwa
vijana nao wajipatia kuni mara baada ya kungolewa kwa miti
mkutano wa wananchi wa boko leo
mkutano wa wakazi leo
wakazi wakichangia kwenye mkutanoleo
BIBI Hamida kilemba mkazi wa boko akionyesha alama aliyowekewa na dasawa kluashiria kubomo sehemu hiyo
moja ya jengo la ghorofa la bwana Allan Lema linatakiwa kubomolewa kupisha ujenzi wa bomba kuu  lwa dawasa

No comments:

Post a Comment