Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 16, 2013

ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA LADY JAY DEE YAHAYA

Msanii wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza kushutiwa Jana jioni, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama Yahaya 












No comments:

Post a Comment