Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 28, 2013

DIWANI WA CCM AFARIKI MOROGORO


Daudi Daudi Mbao Aliyekuwa Diwani wa  Kata Ya Tungi Manispaa ya Morogoro amefariki leo nyumbani kwake nane nane Morogoro Mjini.
Marehemu alikuwa anasumbiliwa na ugonjwa wa sukari kwa muda mrefu na imefahamika ndio chanzo cha mauti yake.
Msiba uko Nyumbani kwake nane nane morogoro mjini ,Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa kesho kwenye Makaburi ya Kola Mjini Morogoro
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jiana la Bwana lihimidiwe
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amen
Na audifacejackson.blogspot.com

No comments:

Post a Comment