skip to main |
skip to sidebar
FEZA KESSY AENDELEA KUONYESHA MAHABA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Mshiriki
wa Botswana, Oneal ameendeleea kuyafaidi mate ya dada yetu ambapo
wakati huu jamaa huyo aliamua kupiga magoti wakati akimwaga "sera za
nguvu" kwa Feza na kumwambia kuwa maisha yake yalikuwa shagala bagala
kabla hajakutana na mwakilishi huyo wa Tanzania.
Maneno hayo matamu yalimwingia vyema Feza ambaye alikuwa
akitabasamu muda wote kuashiria upendo mzito kwa jamaa huyo wa Botswana
ambaye anataka wawe na maisha pamoja siku za usoni.
Washiriki wengine waliamka na kuwashangalia wapenzi hao kama yalivyo maisha ya kawaida.
No comments:
Post a Comment