Aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa SUMATRA na Jaji Mstaafu wa mahakam kuu ya Tanzania 'Buxton David Chipeta' amefariki dunia siku ya tarehe 16 Julai, 2013 kwenye Hospitali ya Hindu Mandal iliyoko jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Marehemu, Oysterbay Mtaa wa Chole/Lincon, Plot No. 580. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema Peponi, Amen.
Watafiti wametakiwa kutumia mbinu shirikishi ili kupata matokeo chanya kwa
jamii
-
Watafiti wametakiwa kushirikisha makundi mbalimbali ya jinsia zote katika
hatua za awali za utafiti wao ili kupata taarifa zitakazoisadia Serikali
kutatu...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment