Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 11, 2013

Jay Z ni noma … mpaka sasa haya ndio mafanikio mapya ya album yake mpya

21-jay-z-samsung-commercial
Sean Carter a.k.a Jay Z ambaye ametoa album yake ya Magna Carter Holy Grail siku kadhaa zilizopita kupitia application ya simu ya Samsung, wiki hii amefikia mafanikio makubwa ya mauzo ya album hiyo ambapo  katika wiki ya kwanza tangu itoke imeuza zaidi ya kopi millioni moja na kuwa certified platinum.habari na millard ayo
Screen Shot 2013-07-09 at 7.21.16 PM_0
Kupitia official account ya Instagram ya RocaFella, kumetolewa picha ya Jay Z akikabidhiwa platinum plaque baada ya mauzo ya album hiyo kufikia millioni moja ambapo pia kupitia page ya instagram ya Beyonce pia na yeye ametupia picha ikimuonyesha Jay Z kipindi akiwa mdogo na mavazi ya graduation with caption ya “Platinum #MagnaCarta”.
Unaambiwa soon Jay Z ata-release video clip ikiwaonyesha yeye na Nas pamoja na washkaji wengine wakiwa studio wakirekodi moja ya ngoma ambazo zipo kwenye album hii  so get ready kwa ajili ya hiyo clip na utaiona hapahapa kwa mtu wako wa nguvu aisee
bey

No comments:

Post a Comment