Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mommmed Gharib Bilal,
akifunga Mkutano wa siku tatu wa Viongozi wa Kimataifa wenye lengo la
kutokomeza njaa Barani Afrika .Mkutano huo ulimazika jana jioni mjini
Addis Ababa Ethiopia.
Makamu
wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye
Mkutano wa Kimataifa kuzungumzi juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani
Afrika uliomalizika mjini Addis Ababa Ethiopia leo.
Ujumbe
wa Tanzania uliofuatana na Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal
wakifuatilia kwa makini mkutano wa Afrika uliozungumzia juu ya
kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika . Mkutano huo ulimalizika jana
jioni July 01-2013 mjini Addis Ababa Ethiopia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal wa
pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Viongozi wa
kimataifa waliohudhuria Mkutano wa Kimataifa uliozungumzia juu ya
kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia July
01-2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mommmed Gharib Bilal na
ujumbe wake, wakiingia kwenye ukumbi wa mkutano wa Viongozi wa kimataifa
uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika . Mkutano
huo ulimalizika jana jioni mjini Addis Ababa Ethiopia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mwenyekiti wa AUC Dk. Nkosazana Dlamina Zuma, kwenye
ukumbi wa Mikutano wa umoja huo baada ya kumalizika kwa Mkutano wa
Viongozi wa Kimataifa uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa
Barani Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia jana jioni July 01-2013.(Picha
na OMR)
No comments:
Post a Comment