Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, July 30, 2013

NEW HIT SONG::SEREBUKA BY DOGO JANJA DOWNLOAD NA SIKILIZA HAPA

Msanii Dogo Janja ambae hivi sasa anapenda atambulike kama Janjaro baada ya kutimiza miaka 18 ameachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la 'Serebuka'.Janjaro amesema kuwa hii ndo official song kwa mwaka huu 2013.Msanii huyo anasema kuwa wimbo wa 'Maisha ya skonga' uliotoka mwaka huu ulikuwa ni zawadi kwa wanafunzi.Janjaro pia anasema tayari asharudi shule kurudia mitihani ya kidato cha pili katika shule ya Sekondari Mbezi.SIKILIZA ngoma hii iliyofanyika katika Arusha katika studio za DX NoizMekah,amewashirikisha washindi wa kundi bora la Bongofleva mwaka 2013,Jambo Squad.

No comments:

Post a Comment