Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi saba
walioteuliwa hivi karibuni na kuagana nao kabla hawajaripoti kwenye vituo vyao
katika nchi mbali mbali leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mabalozi hao toka
kushoto ni Mhe Modest Melo anayekwenda Umoja wa Mataifa, The Hague, Geneva, Mhe
Mabrouk n. Mabrouk (Abu Dhabi – Umoja wa Falme za Kiarabu – UAE), Luteni
Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (Beijing, China), Mhe Anthony Cheche (Kinshasa
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – DRC), Mhe Chabaka Kilumanga (Visiwa vya
Comoro), Mhe Wilson Masilingi (The Hague, Uholanzi) na Mhe Liberata Mulamula
(Washington DC, Marekani). PICHA NA IKULU
Mfumo Mpya wa Kodi Kuleta Mapinduzi Makubwa ya Ukusanyaji wa Mapato Nchini.
-
Na Mwandishi Wetu
Hatua kubwa ya mageuzi ya kodi nchini imefikiwa kufuatia tangazo la kuanza
kutumika kwa mfumo mpya wa ukusanyaji wa kodi za ndani, hatua...
7 hours ago


No comments:
Post a Comment