Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 28, 2013

RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI KARAGWE


Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa.
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasalimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu.
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua  kivuko cha MV Ruvuvu  Jumamosi Julai 27, 2013.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment