Mafundi
wa DAWASCO wakizibua chemba ya maji taka iliyokuwa imeziba na kumwaga
maji katika mzunguko wa Bandari Klabu jijini Dar es Salaam leo. Chemba
hiyo ilikuwa ikitema maji hayo kwa siku kadhaa bila marekebisho.PICHA NA MROKI
Matukio : Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya...
4 hours ago



No comments:
Post a Comment