Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 27, 2013

Utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo hadi kufikia 2025.

039Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bi. Joyce Mkinga akionesha kwa waandishi wa habari kijitabu cha Dira ya Taifa ya Maendeleo hadi kufikia 2025, wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jijini Dar Es salaam
045Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bi. Joyce Mkinga akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na utekelezaji wa dira ya Taifa ya Maendeleo hadi kufikia 2025 wakati wa mkutano na waandishi wa habari Jijini Dar Es salaam kushoto ni Afisa Habari toka Idara ya Habari Bi. Fatma Salum.
PICHA ZOTE NA FRANK MVUNGI-MAELEZO

No comments:

Post a Comment