Toyota Corola lililosababisha ajali hii
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
Gari la
shirika la umeme Tanzania (Tanesco) imepinduka usiku huu baada ya
kugongana uso kwa uso na gari dogo aina ya Toyota Corola katika eneo la
Kwa Sadala barabara ya Moshi/Arusha.
Kwa
mujubu wa shuhuda wa ajali hiyo, gari la Tanesco lilikuwa limepakia
wafanyakazi wa shirika hilo wapatao 18 wakitokea eneo la KIA kuelekea
mjini Moshi. Na Gumzo la Jiji
Amesema
dereva wa gari dogo alikuwa akijaribu kuzipita gari kadhaa zilizokuwa
zikielekea Arusha ndipo akakutana na Loli hilo kabla ya kurudi upande
wake.
Ndipo
gari magari hayo yakagongana na kisha gari la Tanesco kupinduka. Shuhuda
amesema majerhi wa ajali hiyo walikimbizwa hosptali ya KCMC huku
dereva wa gari hilo dogo akiingia mitini na kutokomea kusiko julikana.
Askari wa usalama barabarani na gari la tanesco lililopinduka
Wadau eneo la tukio
No comments:
Post a Comment