Hii ndio hali halisi ilivyo katika uwanja mkongwe na wa kipekee ambao unafaa kuchezewa mechi za ligi wa Namfua uliopo mjini Singida.PICH NA SHAFFIH DAUDA |
Nje ya uwanja kulivyo |
Hali ya mazingira ya uwanja ni mbaya sana - kuna uchafuzi wa mazingira wa hali ya juu |
Uwanja huu kuta zote zipo katika hali mbaya ya kimazingira kutokana na kujaa vinyesi na mikojo |
No comments:
Post a Comment