skip to main |
skip to sidebar
EXCLUSIVE PHOTOS::;HIVI NDIVYO BASI LA TIMU YA COASTAL UNION LILIVYOPASULIWA VIOO NA MASHABIKI WANAODAIWA KUWA WA YANGA
Mbali
ya mwamuzi kufanya kisichotarajiwa kwa timu zote mbili lakini mashabiki
wa Yanga bado walishikilia kuwa Coastal Union wamebebwa hata kuzawadiwa
penalt dakika ya 90 na nahodha Jerry Santo kutumbukiza wavuni na
kugeuza matokeo kuwa 1-1. Hata hivyo gari la wachezaji wa Coastal Union
lilishambuliwa na mashabiki wa Yanga hata kuvunjwa kioo cha pembeni na
beki wa Coastal Union Hamad Juma kupasuliwa sehemu ya kichwa akashonwa
nyuzi kadhaa. Viongozi wa Coastal Union wanauliza je huu ni uungwana?
No comments:
Post a Comment