Mkuu
wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Bonifasi Mbao
akizungumza kwenye eneo la tukio amesema chanzo cha ajali hiyo ni
mwendo kasi ambapo dereva wa basi gari ilimshinda na kugonga mtembea
kwa miguu na kisha kupinduka ambapo dereva wa basi amekimbia mara baada
ya tukio la ajali
Taarifa
za madaktari katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro zimeeleza
majeruhi wanaendelea na matibabu na mwili wa marehemu umehifahiwa katika
chumba cha maiti hospitali ya mkoa wa morogoro .chanzo ITV
BONANZA LA WAFANYAKAZI TRA NA WAFANYABIASHARA KARIAKOO LAFANA
-
Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mcha Hassan Mcha,
akikabidhi kwa Nahodha wa timu ya Wafanyabiashara Kariakoo, Shafii Salimu,
komb...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment