Mwenge
wa Uhuru ukiwa mpakani mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani leo tayari kwa
makabidhiano ya Mwenge huo uliomaliza ziara yake mkoani morogoro na
Kuanza ziara Mkoa wa Pwani mara baada ya kutembelea wilaya zote za mkoa
wa morogoro kwa lengo la kukagua na kufungua miradi na shuguli za
Maendeleo Mkoani Morogoro.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Morogoro na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris
wakati wa Shamra shamra za Mbio za Mwenge wa Uhuru uliomaliza ziara yake
Mkoani Morogoro Leo.
Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Morogoro wakiwa katika makabidhiano hayo leo.
Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Pwani wakiwa katika Mapokezi hayo leo
Mkuu
wa mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh Mwamtumu Mahiza leo mara baada ya mwenge huo
kumaliza ziara yake mkoa wa morogoro
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwamtumu Mahiza akipokea Mwenge wa Uhuru
Waziri
wa Elimu na mafunzo ya ufundi Na Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Mh Dk
Shukuru Kawambwa akiwa na Naibu Waziri wa Afya Seif S Rashid wakiwa
katika Mapokezi hayo..
No comments:
Post a Comment