Baadhi
ya wakazi wa mkoa wa Singida wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 linalofanyika kwenye viwanja vya
Singida Motel usiku huu.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Petter Msechu akiwaimbisha mashabiki wake
waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta
2013 linaloendelea hivi sasa ndani ya Singida Motel.
Ni ndani ya Singida Motel tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea hivi sasa
Wasanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Lina na Amin
wakilishambulia jukwaa kwa pamoja,huku wakazi wa Singida waaliofurika
usiku huu ndani ya Singida Motel wakipiga mayowe ya shangwe.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya,Abdul Kiba akiimba jukwaani kwa hisia usiku
huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013,ndani ya Singida Motel
usiku huu mkoani Singida. NA AUDIFACE JACKSON BLOG
No comments:
Post a Comment