Jeshi
la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana
jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano
yaliyosambaratishwa na polisihapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa
machozi
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
1 week ago


No comments:
Post a Comment