Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 16, 2013

Taarifa ya maendeleo ya msiba wa Buyoya huko Atlanta, USA


msiba cae99
(Marehemu Buyoya)
Kwa niaba ya familia ya Biswalo tuna sikitika kuwatangazia kifo cha Mtanzania mwenzetu
Paul Buyoya Biswalo, aliye fariki katika Mto wa Chattahoochee.Kama wengi wenu mlivyo zipokea taarifa hizi hapo awali kutoka kwenye mitandao mbali mbali na vyombo vya habari hapa Atlanta .
P.T

Kama kawaida yetu watanzania ,tunawaomba tushirikiane pamoja na familia ya Biswalo huko Tanzania ili kuweza kufanikisha mahitaji yote ya huu msiba ulio tupata wa Mtanzania mwenzetu.
Taarifa tulizo nazo ni kwamba Kaka yake na Marehem anatarajiwa kufika hapa Atlanta kesho Usiku Tarehe 14 August 2013.
Mipango kamili ya Mazishi ya marehem bado hayajapangwa mpaka hapo kaka wa Marehem atakapo wasiri.
Ndugu wa Marehem pamoja na marafiki wa karibu na marehem Paul Buyoya Biswalo wame fungua Account kwa ajili ya Funeral fund ya Marehem kwenye Link hapo chini.
You can help by donating through Paypal (https://www.paypal.com/webapps/mpp/send-money-online ) to the email below:tage81@hotmail.comor you can donate through the Buyoya Funeral Fund established below:http://www.gofundme.com/buyoyabiswaloMsiba Utakuwa Nyumbani kwa Ndugu Elias Elisa hapa Atlanta, pindi kaka wa Marehem atakapo fika .
taarifa zaidi tutawafahamisha hapo baadaye
Kwa maelezo zaidi : wasiliana na :
Elias Elisa
404-647-4945
Amani Tungaraza
614-323-4114
Lemmy Muhando
202-361-1059
Dennis Bwimbo
817-770-3559
Mungu amuweke mahali pema Peponi, Paul Biswalo
Amen.
Tanzania Association of Atlanta

No comments:

Post a Comment