Diamond Platnumz jana alifanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya,
Number 1 kwenye ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Uzinduzi
huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu zake, marafiki,
wasanii wenzake na wadau mbalimbali wa muziki nchini.

Chege Chigunda akifuatilia kwa makini
Kwenye uzinduzi huo pia, Diamond alimpa zawadi ya gari msanii mkongwe aliyetangaza kustaafu muziki, Muhidin Gurumo kama heshima kwake.

Diamond akienda kumkabidhi Mzee Muhidin Gurumo gari

Diamond akimuonyesha Mzee Gurumo gari aliyomzawadia

Diamond akiongea na wadau waliofika

Dully Sykes akiwa na Diamond wakiongea machache

Ndugu na Marafiki katika picha ya pamoja

Hapa Diamond akimkabidhi Mzee Gurumo funguo ya gari

Diamond akiongea machache na wasanii wenzake waliofika kumpa sapoti

Hili ndo gari alilopewa Mzee Gurumo na Diamond

Hivyo ndivyo watu walivyojitokeza kuja kuona video ya Number 1

Kama kawa burudani ilikuwepo kidogo

Mzee Gurumo akijaribu kidogo kupiga lesi baada ya kukabidhiwa gari

Mzee Gurumo akiongea machache na kumshukuru Diamond kwa kumpatia zawadi ya gari

Nay wa Mitego akiwa pamoja na Madam Rita

Queen Darleen na Bi Sandra

Ray Kigosi akifuatilia kwa makini sana

Wadau mbalimbali waliopata mualiko wakifuatilia

Wadau wa burudani wakifuatilia

Wadau wakisubiri kwa hamu kuona kuona video ya Number 1

Watu wakifuatilia

Asha Baraka,Queen Darleen pamoja na Mama Diamond

No comments:
Post a Comment