Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 28, 2013

VIDEO LAUNCHING.......29 THURSDAY 08.2013 AT SERENA HOTEL

Siku ambayo mimi binafsi na wewe tumekuwa
tunaisubiria sasa naona Nuru inaniangazia.
29.08.2013,Kuanzia saa 1 jioni hadi saa 3
usiku ndani ya SERENA HOTEL ntakuwa
nikiachia Live video yangu mpya
itakayotambulika kama #MYNUMBERONE....

Je wewe umepata mwaliko wako....?? Je wewe
 ulishajua number one wako ana vigezo
gani......?? Je wewe utakuwa wa kwanza
 kushuudia uzinduzi huu....??

Basi sawa Launching hii sambamba
kabisa ufike muda huo na kadi yako
mkononi,kumbuka Party hii ya Launching
 Premier ya My Number One
aina Kiingilio ni Special kwa waalikwa tu.....Inshallah
Mwenyezi Mungu atuweke salama na kutufikisha
siku hii.....Nawapenda sana.
WCB FORVER & COCA BOY FOR LIFE

No comments:

Post a Comment