|
Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) na Balozi wa Marekani nchini,
Alfonso Lenhardt wakikata utepe kuzindua rasmi mitambo ya redio za mawasiliano
katika Vituo vya Wanamaji vya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi. Mitambo
hiyo imefungwa kwa hisani ya Serikali ya Marekani ambayo imegharimu Dola za Marekani
milioni moja (1,000,000 USD). Redio hizo za mawasiliano zitasaidia kukabiliana
na ajali pamoja na makosa yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa
nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika Kituo cha Kikosi cha Polisi Wanamaji
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
|
|
Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kulia) na Balozi wa Marekani nchini,
Alfonso Lenhardt wakiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) ujumbe
ulioandikwa katika bango baada ya kukata utepe kuzindua rasmi mitambo ya redio
za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji vya Jeshi la Polisi na Jeshi la
Wananchi. Mitambo hiyo imefungwa kwa hisani ya Serikali ya Marekani ambayo
imegharimu Dola za Marekani milioni moja (1,000,000 USD). Redio hizo za
mawasiliano zitasaidia kukabiliana na ajali pamoja na makosa yanayofanywa
katika maeneo ya baharini na maziwa nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika
Kituo cha Kikosi cha Polisi Wanamaji jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix
Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
|
Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na viongozi wa Jeshi la
Polisi, Jeshi la Wananchi, Marekani pamoja na waandishi wa habari kabla ya
kuzindua mitambo ya redio za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji vya Jeshi la
Polisi na Jeshi la Wananchi. Mitambo hiyo imefungwa kwa hisani ya Serikali ya
Marekani ambayo imegharimu Dola za Marekani milioni moja (1,000,000 USD). Redio
hizo za mawasiliano zitasaidia kukabiliana na ajali pamoja na makosa
yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa nchini. Uzinduzi huo
umefanyika katika Kituo cha Kikosi cha Polisi Wanamaji jijini Dar es Salaam
leo. Picha na Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
|
Balozi wa
Marekani nchini, Alfonso Lenhardt akitoa hotuba yake kabla ya uzinduzi wa
mitambo ya redio za mawasiliano katika Vituo vya Wanamaji vya Jeshi la Polisi
na Jeshi la Wananchi. Wakwanza kutoka kulia (aliyekaa) ni Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Mitambo hiyo imefungwa kwa hisani ya
Serikali ya Marekani ambayo imegharimu Dola za Marekani milioni moja (1,000,000
USD). Redio hizo za mawasiliano zitasaidia kukabiliana na ajali pamoja na
makosa yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa nchini. Uzinduzi huo
umefanyika katika Kituo cha Polisi Wanamaji jijini Dar es Salaam leo. Picha na
Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
|
Baadhi ya vifaa
vya mawasiliano vilivyozinduliwa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi pamoja na Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt. Vifaa
hivyo vya mawasiliano vitasaidia kukabiliana na ajali pamoja na makosa
yanayofanywa katika maeneo ya baharini na maziwa nchini. Uzinduzi huo
umefanyika katika Kituo cha Kikosi cha Polisi Wanamaji jijini Dar es Salaam
leo. Picha na Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
(Na Kitengo cha mawasiliano
ya serikali wizara ya mambo ya ndani ya nchi)
No comments:
Post a Comment