Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Wachungaji Mapambano Jacob na Charles Lugembe wa Kanisa
la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama
Mjini.Kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dayosisi ya Shinyanga,Dkt.
John Kanon Nkola.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono waumini wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church
Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini,wakati alipokuwa akiwasili kwenye
kanisa hilo kwa ajili ya kuendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule
ya Msingi wa ya Kanisa hilo.
Juu na
chini ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akikata utepe na kufungua pazia katika jiwe la msingi ikiwa ni
ishara ya Ufunguzi rasmi wa Jengo la Madarasa ya Shule ya awali ya
Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama
Mjini.ambapo baadae aliendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya
Msingi wa ya Kanisa hilo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendesha
Harambee ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya
Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama
Mjini.ambapo zaid ya Shilingi Milion 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.
Juu na
chini ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akipokea Michango Mbali Mbali kutoka kwa Marafiki zake.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea
zawadi ya kitabu cha Mungu (Biblia) kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
AICT (Africa Inland Church Tanzania) Dayosisi ya Shinyanga,Dkt. John
Kanon Nkola mara baada ya kuendesha Harambee ya Kuchangisha fedha kwa
ajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT (Africa Inland
Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo zaidi ya Shilingi
Milion 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.
No comments:
Post a Comment