Haya ni Maneno ya Izzo
Tumepata
Ajali Mbaya Eneo la MSITUNI wakati tunatokea GEITA kwenye Show kuelekea
Airport MWANZA...Tunamshukuru Mungu Tupo salama...Pole kwa brother
Philbert KABAGO kwa kuumia maeneo ya Pembeni ya Jicho lake...Get well
soon bro...Mungu ni Mwema
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment