skip to main |
skip to sidebar
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AFUNGA MAFUNZO YA KOZI MAALUM YA KUTULIZA GHASIA MAGEREZANI, JIJINI DAR ES SALAAM
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kulia) akikagua Gwaride
Maalum lililoandaliwa na Wahitimu wa Kozi Na.09 ya Mafunzo Maalum ya
kutuliza Ghasia Magereza leo Septemba 05, 2013 katika Kikosi Maalum cha
Kutuliza Ghasia Magerezani kilichopo Ukonga, Jijini Dar es Salaam
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kulia) akikagua Gwaride
Maalum lililoandaliwa na Wahitimu wa Kozi Na.09 ya Mafunzo Maalum ya
kutuliza Ghasia Magereza leo Septemba 05, 2013 katika Kikosi Maalum cha
Kutuliza Ghasia Magerezani kilichopo Ukonga, Jijini Dar es Salaam(Picha
na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment