Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, September 26, 2013

News Alert: Mwandishi wa Mwananchi Morogoro afariki



Mwandishi wa gazeti la Mwananchi mkoani Morogoro, Venance George, amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Venance aliugua ghafla na kulazwa katika hospitali ya AghaKan Morogoro na amefariki dunia kutokana na kusumbuliwa na tumbo.
Habari zilizoifikia Tajoa , zinaeleza kuwa mipango ya mazishi inaandaliwa na kwamba umma utajulishwa.
dj sek blog inatoa pole kwa tasnia, familia ya Venance na zaidi sana Mwananchi kwa kupoteza mwandihsi mahiri.

Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina lake lihimidiwe


Chanzo: Tanzania Journalists Alliance (TAJOA)

No comments:

Post a Comment