Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, September 26, 2013

PICHA YA SIKU:::ENZI HIZOOOO

Pichani ni mmoja wa makuruta wa kwanza kwanza wa JKT pale Ruvu Mzee Kawawa (wa pili kutoka kushoto kwenye msitali wa mbele, mfupi na mwenye kitambi). Picha hii ilipigwa wakati wa 'Pass-out Parade', ilikuwa miaka ya 1968-1970

No comments:

Post a Comment