iliyopewa kaulimbiu ya Kikwetu kwetu imefanyika mkoani Kigoma na kuvunja
rekodi ya mahudhurio katika uwanja wa Lake Tanganyika baada ya maelfu ya wakazi
wa mji wa Kigoma na maeneo ya jirani kufurika kwa wingi kuwashuhudia wasanii
wakali 12 waliopanda jukwaani. Kivutio kikubwa katika tamasha hilo ilikuwa ni
wanamuziki wanne wanaounda kundi la Kigoma All Stars, Diamond, Mwasiti, Linex
na Recho kupanda mwishoni na kuimba wimbo wao maarufu wa Leka Dutigite na
kupata shangwe kubwa toka kwa mashabiki. Hizi ni baadhi ya picha za matukio
yaliyotokea
RAIS DKT SAMIA ATUMA UJUMBE MAALUM KWA RAIS WA CHINA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China
Mhe. ...
2 hours ago




No comments:
Post a Comment