Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, October 18, 2013

Ajali mbaya imetokea eneo la Migela Mjini Bukoba, watu wahofiwa kupoteza maisha

 Ni ajali ya Gari lililokuwa limebeba shehena ya ngano limepinduka maeneo ya Migela ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba, gari hilo lenye namba ya usajili T893 BPZ mali ya kampuni ya AZAM na kuna uwezekano kuwa na watu kadhaa wamepoteza maisha, kutoka na vifaa vinavyotumika kuokolea kuwa duni.
 
Mguu ukionekana kwa nje katika gari lililopata ajali ambalo lilikuwa limebeba ngano
Hivi ndivyo watu wanavyojaribu kutumia magongo ya miti katika zoezi la uokoaji wa maisha ya mmoja wa raia anayeendelea kutahabika baada ya kupindukiwa na gari hilo lililokuwa limebeba shehena ya ngano.
BUKOBAWADAU BLOG  

No comments:

Post a Comment