Boti moja iliyobeba mizingo kuelekea Zanzibar inawaka moto hivi sasa
katika bahari ya hindi nje kidogo ya bandari habari kutoka Breking news
ya Radio one leo asubuhi boti hiyo ni ile inayobeba mizigo ya
wafanyabiashara jeshi la polisi pamoja na vifaa kadhaa vimelekea vkatika
tukio ili kuwahi kuzima moto tutawaletea zaidi
AGA KHAN 'V' ACHUKUA UONGOZI WA IMAMAT, AKITHIBITISHA AHADI YA KUENDELEZA
MAENDELEO TANZANIA, AFRIKA NA DUNIANI NZIMA
-
Prince Rahim Al-Hussaini pichani ameteuliwa kuwa Imam wa 50 wa Madhehebu ya
Ismailia.
JUMUIYA ya Waislamu wa Kisheia Ismaili imemtangaza Prince Rahim Aga ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment