Ni kijana anayekuja kwa kasi sana katika tasnia hii ya bongo fleva anajulikana kwa jina la Mirror msanii ambaye anatokea kwenye ile kampuni ya Wema Sepetu inayoitwa ENDLESS FAME FILMS. Huu ni ujio wake mpya video inaitwa BABY na imesimamiwa na Dir Nisher hadi Dress Codes alivotupia mtoto huyu amesimamia Nisher, kwenye upande wa Wardrobe naambiwa kasimamia Martin Kadinda na kuhusu makeups amesimamia Wema Sepetu.
KURUI ,KISARAWE KUMEKUCHA 'JAFO CUP'
-
Na Khadija Kalili Michuzi Tv
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana zimetoka sare ya goli moja moja
ikiwa ni katika hatua ya kuwania kucheza mechi...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment